Afghanistan Kuwa Timu ya Kwanza Kuvaa Jezi za Kuficha Maumbile ya Wanawake | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Saturday, March 12, 2016

Afghanistan Kuwa Timu ya Kwanza Kuvaa Jezi za Kuficha Maumbile ya Wanawake

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Kwa mara ya kwanza timu ya taifa ya wanawake wa AFGHANISTAN – itakuwa timu ya kwanza ya soka ya wanawke kuvaa jezi ambazo zimetengenezwa maalum kwa ajili ya kukidhi matakwa ya sheria za kidini za nchi yao.
01_08162004_46559f_2730407aJezi hizo zitakuwa ni suruali za vitambaa laini na t-shirt ya juu ambayo imeunganika na kiremba cha kichwani – hii nafanyika kutokana na sheria za dini ya kiislamu ambazo zinamtaka mwanamke kujistiri kwa mavazi ya namna hiyo.
Kucheza soka nchini Afghanistan kwa wanawake imekuwa sio jambo jepesi, nahodha wa timu ya taifa ya nchi hiyo Khalida Popai alisema: “Kucheza kunaweza kuwa hatari sana kwa wanawake hapa, nchi ambayo ina mfumo dume kwenye maeneo yote. Haikuwa inaruhusiwa kucheza soka kwa wanawake. Soka ni mchezo wa kiume.02_08162004_8c48ee_2730405a
“Hizi jezi ni zinaleta uhafadhali kwa wanawake wa taifa hili, na nina furaha kuwa mfano bora kwa wasichana wadogo ambao wangependa kucheza soka huko mbele.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA