GOLI LA COUTINHO DHIDI YA MAN UNITED ALILIFANYIA MAZOEZI KWA MIAKA MINNE (Video) | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, March 18, 2016

GOLI LA COUTINHO DHIDI YA MAN UNITED ALILIFANYIA MAZOEZI KWA MIAKA MINNE (Video)

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Coutinho
Inawezekana Guillermo Varela alishawahi kuangalia video ya goli la Philippe Coutinho akiwa kwenye mazoezi wakati akiwa Inter Milan?
Beki huyo wa kulia wa Manchester United alifungashwa na Coutinho sekunde chache kabla ya half-time kisha m-brazil huyo akafunga bao la aina yake kwenye mechi ya ugenini katika uwanja wa Old Trafford.
Varela hakudhani kama Coutinho angeweza kufunga goli hilo kutokana na sehemu aliokuwepo, lakini huku akiwa anatoka nje ya uwanja, m-brazil huyo aliu-chip mpira uliompita David De Gea asijue nini cha kufanya.
Almost as soon as the goal went in, footage emerged of a Philippe Coutinho golazo in Inter Milan training four years ago which looks very similar indeed!
Muda mfupi baada ya kufungwa kwa goli hilo, ikaonekana video ya goli jingine la Philippe Coutinho alilofunga kwenye mazoezi wakati akiwa Inter Milan linalofanana kwa kila kitu na goli alilofunga kwenye mchezo dhidi ya Man United.
Hili ndiyo goli la Phelippe Coutinho dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa jana michuano ya Europa League
Angalia goli alilofunga Philippe Coutinho akiwa Inter Milan miaka minne iliyopita linalofanana na lile alilofunga kwenye mechi dhidi ya Manchester United

KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA