Kama unatumia mtandao wa instagram haya ndio mabadiliko mapya | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 30, 2016

Kama unatumia mtandao wa instagram haya ndio mabadiliko mapya

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Najua nina watu wangu ambao ni watumiaji wazuri sana wa mitandao ukiwemo mtandao wa instagram ambao umekuwa ukitumiwa na  watu mbalimbali kama mtandao wa kupost picha au video ya kitu fulani.
Sasa good news niliyoipata muda huu ni kwamba moja kati ya kitu kilichoboreshwa kwenye mtandao huo ni kwenye upande wa video ambapo kwa mara ya kwanza mtumiaji alikuwa akipost video yenye sekunde 15 lakini leo maboresho yaliyofanywa makubwa ni kwamba mtumiaji wa mtandao huo atakuwa anaweza kupost video yenye dakika moja tu badala ya sekunde 15.
Hapa nimekusogezea video yenye dakika moja ya staa Diamond Platnumz kupitia mtandao huo wa instagram
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA