Kiswahili fasaha cha maneno yafuatayo: Kitchen Party, Smartphone, Expire, Live na Send-off party | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Saturday, March 12, 2016

Kiswahili fasaha cha maneno yafuatayo: Kitchen Party, Smartphone, Expire, Live na Send-off party

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Inawezekana Kiswahili ikawa ni lugha yako ya kwanza lakini bado kuna vitu vingi tu huvijui au huwa hauvitamki kwa Kiswahili ndio maana leo nimeamua kukutanisha na maana ya maneno machache ambayo tumezoea kuyatamka kwakiingereza japo tunayaongea kwenye sentensi zenye kiswahili.
Neno LIVE mfano pale unaposema CloudsTVinaonyesha LIVE… kwa Kiswahili LIVE ni PAPO, sasa hivi pia tunazo simu za kisasa ambazo tunaziita Smartphones ila kwa Kiswahili jina lake ni SIKANU……. pia kwenye ile sherehe maarufu kwa jina la Send-off kwa kiswahili ni ‘sherehe ya Mwago‘ kwa sababu Binti ndio anaagwa.
Kuna kitu kinaitwa Kitchen Party ambapo kiswahili chake ni ‘JIKO MTAWAZO‘ yaani mtu anatawazwa kuhusu mambo ya jiko na mambo ya maisha ndio maana mtu akioa Waswahili wanasema umepata Jiko.
Neno jingine la kufahamu kwa leo ni pale unapokuta kitu au bidhaa imekwisha muda wake wa matumizi mfano maziwa au mkate, neno maarufu tunalitumia ni ‘expire‘ ila kwa Kiswahili fasaha unaambiwa ni ‘IMECHOTORA
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA