Messi kavunja rekodi nyingi FC Barcelona, ila hii ndio inayomuumiza kichwa kuivunja | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 16, 2016

Messi kavunja rekodi nyingi FC Barcelona, ila hii ndio inayomuumiza kichwa kuivunja

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentinaanayeichezea klabu ya FC Barcelona yaHispania Lionel Messi ameweka na kuvunja rekodi nyingi akiwa ndani ya klabu ya FC Barcelona ya Hispania, ila March 15101greatgoals.com ndio wametaja rekodi inayomsumbua Lionel Messi kwa sasa.
ronald-koeman-scores-in-1992-ECL
Lionel Messi kwa sasa anatajwa kuwa na wakati mgumu wa kuivunja rekodi ya mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Ronald Koeman ambaye anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi kwa faulo, Koeman kafunga jumla ya faulo 25 kuanzia mwaka 1989-1995.
Lakini Lionel Messi kafunga jumla ya faulo 21 kuanzia 2004 hadi sasa, huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Ronaldinho ambaye kafunga faulo 20 kuanzia mwaka 2003-2008. Hiyo ndio rekodi pekee Lionel Messi rekodi hajaivunja hadi sasa.
q
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA