SHABIKI WA DORTMUND AFIA UWANJANI AKIISHANGILIA TIMU YAKE | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Monday, March 14, 2016

SHABIKI WA DORTMUND AFIA UWANJANI AKIISHANGILIA TIMU YAKE

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Dortmund fans
Kulikuwa na hali ya ukimya kwa muda wakati Borussia Dortmund ikipata ushindi wa bao 2-0 mbele ya Mainz kwenye ligi ya Bundesliga siku ya Jumapili.
Shabiki mmoja wa Dortmund alipata shambulio la moyo heart attack wakati wa kipindi cha kwanza katika mchezo huo na hatimaye akapoteza maisha.
Uwanja mzima uliokuwa na mashabiki zaidi ya 80,000 ulibaki kimya pamoja na mashabiki wa Mainz waliosafiri kwenda kwenye dimba la Signal Iduna Park kuishuhudia timu yako, wakifanya hivyo kwa kuheshimu kilichomkuta shabiki mwenzao wa soka.
Kwenye dakika ya mwisho ya kipindi cha pili, mashabiki wa Dortmund waliimba wimbo maarufu wa ‘You’ll Never Walk Alone’ ambao huimbwa na mashabiki wa Liverpool.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA