Simu ya muuaji:Apple yajibizana na serikali ya US | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, March 11, 2016

Simu ya muuaji:Apple yajibizana na serikali ya US

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Majibizano makali yameendelea kati ya serikali ya Marekani na kampuni ya Teknolojia ya Apple, baada ya kampuni hiyo kukataa kusaidia kufungua simu ya mmoja wa washambuliaji waliowauawa watu kwa kuwapiga risasi mwezi Disemba.
Idara ya sheria iliwasilisha ombi mahakamani ikisema simu ya mshambuliaji huyo huenda ina ushahidi kuhusu shambulio hilo.
Pia idara hiyo imelaumu Apple kwa kuwa na ukaidi.
Kampuni hiyo imejitetea na kusema shirika la ujasusi la FBI linatumia njia za mkato ili kuweza kudukua simu zote kwa kutumia kisingizio cha simu moja.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA