Wafuasi wa CHADEMA wafurika mahakamani polisi walazimika kutumia nguvu ya ziada kuimarisha ulinzi | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Monday, March 14, 2016

Wafuasi wa CHADEMA wafurika mahakamani polisi walazimika kutumia nguvu ya ziada kuimarisha ulinzi

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Mamia ya wafuasi wa CHADEMA  wakiongozwa  na  Mwenyekiti  wao Freeman Mbowe leo  wamefurika mahakama  kuu  jijini  Mwanza katika kesi ya  mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA)  anayepinga  matokeo  ya  Stanslaus Mabula (CCM). 
 
Polisi  wametumia  nguvu  ya  ziada  kuhakikisha  ulinzi  unaimarika  mahakamani  hapo
Ezekia Wenje akiwa  Mahakamani
Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula akiwa mahakamani
Ezekiel Wenje akisubiri kutoa ushahidi
 
Freeman Mbowe na  Ezekiel Wenje wakiwa mahakamani
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA