Leo katika historia alhamisi ya tarehe 07/04/2016 | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, April 7, 2016

Leo katika historia alhamisi ya tarehe 07/04/2016

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Na Miaka 69 iliyopita katika siku kama hii ya leo, aliaga dunia msomi na mvumbuzi maarufu wa Kimarekani,Henry Ford akiwa na umri wa miaka 84.Ford alizaliwa mwaka 1863 katika familia ya kimasikini katika kijiji cha Greenfield nchini Marekani.Akiwa bado barobaro,Henry Ford alijishughulisha na utengenezaji wa saa na alipokuwa kijana alifanya kazi ya umakanika.Henry Ford anatambuliwa kuwa mmoja wa wavumbuzi wa magari aina ya FORD.
Siku kama ya leo mwaka 1945 meli ya kivita na kubwa kuliko zote duniani kuwahi kutengeneza iliyopewa jina la Yamato iliyomilikiwa na jeshi la Japan yazamishwa na ndege za kivita za marekani wakati wa vita vya Okinawa
Na siku kama ya leo miaka 36 iliyopita yaani mwaka 1980 Marekani na Iran zavunja uhusiano wao rasmi


KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA