Magari ya kifahari ya jeshi la Polisi Dubai, unakamatwa na kosa barabarani unasahau faini ukilishangaa gari | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 5, 2016

Magari ya kifahari ya jeshi la Polisi Dubai, unakamatwa na kosa barabarani unasahau faini ukilishangaa gari

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Dubai ni moja ya sehemu ukienda kwa mara ya kwanza utajikuta unashangaa tu tena kama wewe ni mpenzi wa magari makali na maisha mengine ya kifahari ndio kabisa maana kuanzia watu binafsi mpaka Jeshi la Polisi wanayo magari ya kifahari kama FerrariBugatti na Lamborghini ambayo wengi wetu tumezoea kuyaona kwenye video za mastaa wa dunia kama kina Nicki MinajChris Brown na wengine.
Dubai ni moja ya sehemu chache duniani zenye usalama wa hali ya juu, mtaani hata iwe saa kumi au tisa usiku hakuna uhalifu na ninakumbuka mwaka 2014 nilifanya mahojiano na mwenyeji wa Dubai kwa zaidi ya miaka 20 akasema vitu kama wizi wa ukabaji au Majambazi hakuwahi kuvisikia, ishu alizowahi kuzisikia ni kama za visa vya mapenzi tu watu kupigana au kumletea mtu fujo sababu kakuchukulia mpenzi wako.
Kwenye hizi video hapa chini kuna Makala inayoonyesha Polisi wa Dubai wanavyofanya kazi na magari ya kifahari ya jeshi hilo ambayo yanaspidi kubwa kuliko magari ya kawaida lakini pia teknolojia waliyonayo kwenye kufatilia ishu za kiusalama.


HIZO HAPO JUU NI ZA POLISI, ZA RAIA MTAANI NI HIZI HAPA CHINI
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA