Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam lafanikiwa kumtia mbaroni jambazi sugu akiwa na silaha mbili huku moja ya silaha hizo ikiwa imefichwa kwa rafiki yake wa kike.https://youtu.be/CQpi9eWwGOY
Baadhi ya miundombinu ya mabomba ya kusafirishia maji visiwani Zanzibar yaharibiwa vibya na mvua zinazoendelea kunyesha visiwani humo. https://youtu.be/43S8ABP6mhs
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment