Waliokufa kuangukiwa daraja India wafikia 23 | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, April 1, 2016

Waliokufa kuangukiwa daraja India wafikia 23

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
ImageAP
ImageMoja ya magari yaliyoangukiwa na sehemu ya barabara hiyo
Mamia ya waokoaji wakiongozwa na majeshi, wahandisi, matabibu wamekuwa wakifanya kazi usiku kucha katika mji wa India wa Calcutta kuokoa watu wanaosadikiwa kunaswa kwenye barabara ya juu iliyoanguka ikijengwa.
Maafisa wanasema hadi sasa watu 23 wamekufa na mamia kujeruhuwa na wengine wakiwa bado wamefukiwa na kifusi.
Inasadikiwa watu wengi wamefukiwa ambapo hadi sasa tayari watu 23 wamethibitishwaa kufariki na mamia wengine kujeruhiwa ambao wanapatiwa matibabu.
"Kulikuwa na watu wengi waliokuwa wamesimama chini ya bara bara hiyo inayopita juu kwa juu kulikuwa na bajaji na taxi nyingi zote zimefukiwa," anasema mmoja wa walioshuhudia mkasa huo
Mkurugenzi Mkuu wa Kikosi cha Kukabiliana na majanga nchini India O P Singh anasema waokoaji wamekuwa wakikata zege ili kuwafikia watu waliokuwa wamezikwa baada ya kuangukiwa na kifusi.
Kampuni iliyokuwa inajenga barabara hiyo ya juu kwa juu amesema watatoa ushirikiano kwa maafisa wa upelelezi katika uchunguzi wa tukio hilo. Msemaji wa kampuni hiyo K P Rao anasema bado hawajafahamu nini kilichosababisha
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA