BAO LA KWANZA ENGLAND LAMFANYA RASHFORD KUANDIKA REKODI MPYA | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Saturday, May 28, 2016

BAO LA KWANZA ENGLAND LAMFANYA RASHFORD KUANDIKA REKODI MPYA

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Marcus Rashford ameweka rekodi ya kuwa mshambuliaji kijana zaidi wa England kufunga bao katika mechi yake ya kwanza ya timu hiyo.

Rashford ambaye ni mwanafunzi, amefunga bao lake la kwanza akiichezea England kwa mara ya kwanza jana wakati ilipoivaa Australia.

Pia anashikilia rekodi ya mchezaji kinda wa tatu kuwahi kufunga akiwa na England baada ya Wayne Rooney na Michael Owen.



MAMA MZAZI WA RASHFORD AKISHANGILIA BAO LA MWANAYE AKIWA JUKWAANI.

KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA