DIAMOND PLATINUMS AWAPAGAWISHA VILIVYO WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Sunday, May 1, 2016

DIAMOND PLATINUMS AWAPAGAWISHA VILIVYO WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao( wa tatu toka kushoto) pamoja na wafanyakazi wenzake wakifurahia moja ya nyimbo za mwanamuziki Nasib Abdul”Diamaond Platinum’s” alipokuwa akitumbuiza wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania ,wakicheza nyimbo mbalimbali zilizokuwa zikiimbwa na mwanamuziki mahiri wa mziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul”Diamaond Platinum’s”(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi mbalimbali wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Msanii mahiri wa Mziki wa kizazi kipya,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s ' akitumbuza vilivyo wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakicheza na Mwanamuziki anayetamba katika medani ya muziki wa kitaifa na Kimataifa ,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s ', wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki anayetamba katika medani ya muziki wa kitaifa na Kimataifa ,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s ', akiwapagawaisha wafanyakazi wa Vodacom Tanzania , wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi mbalimbali wafanyakazi bora wa kampuni ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA