Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
JE WAJUA? kuwa twiga huwa hakohowi?
Siku kama ya leo mwaka 1991 Helen Sharman awa mwingereza wa kwanza kwenda angaza juu akiwa kama abiria wa kawaida kwenye chombo cha urusi kijulikanacho kama Soyuz TM-12.
Siku kama ya leo mwaka 1974 India yawa nchi ya sita duniani kufanikiwa kulipua bomu la nyuklia lililofanyiwa majaribio katika jangwa la Rajasthan
Na siku kama ya leo mwaka 1931 rubani wa ndege kutoka japani aiangusha ndege yake katika bahari ya pasifiki katika jaribio lake la kutaka kuvunja rekodi ya kuwa rubani wa kwanza kuvuka bahari hiyo bila kupumzika.Alikuja kuokolewa baadae baada ya masaa takribani saba
Siku kama ya leo mwaka 1951 umoja wa mataifa wahamisha makao yake makuu na kuyapeleka jiji la New York
Vilevile siku kama ya leo Helen Sharman awa mwingereza wa kwanza kwenda angaza juu akiwa kama abiria wa kawaida kwenye chombo cha urusi ya zamani kijulikanacho kama Soyuz TM-12.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment