WATU WA 3 WAULIWA KWA MAPANGA WAKATI WA KISWALI MSIKITINI NYAMAGANA | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, May 20, 2016

WATU WA 3 WAULIWA KWA MAPANGA WAKATI WA KISWALI MSIKITINI NYAMAGANA

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
 A.ALAYKUM KUNA TAARIFA SASA HIVI KUTOKA KWA MSIKITI WA BAKWATA WA WILAYA YA NYAMAGANA KUWA WAISLAM WA MSIKITI ULIOKO KATA YA MKOLANI WILAYA YA NYAMAGANA WAKIWA KWENYE SWALA YA ISHA WALIVAMIWA NA WATU WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI NA KUWAPIGA MAPANGA NA WAUMINI WATATU INASEMEKANA WAMEFARIKI DUNIA.   KATIBU BALLA..


BARUA YA UTHIBITISHO WA JESHI LA POLISI..
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA