Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Mfanya biashara katika Umoja wa Falme za Kiarabu, amelipa karibu dola milioni tano sawa na zaidi ya shillingi bilioni 10 kununua nambari ya gari ya kipekee.Nambari yenyewe ni ya herufi moja tu, Namba moja.Bei aliyolipa ni karibu mara 20, kushinda ilivyotarajiwa mnada ulipoanza.Tajiri huyo aliviambia vyombo vya habari kwamba lengo lake siku zote, ni kuwa nambari ya kwanza.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment