Alichosema Meneja wa Diamond kuhusu kufanya kolabo na Kanye West hiki hapa | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, March 10, 2016

Alichosema Meneja wa Diamond kuhusu kufanya kolabo na Kanye West hiki hapa

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Kanye
Siku chache baada ya msanii Diamond platnumz kupost picha kwenye instagram akiwa na kanye West ambaye ni rapper mashuhuri ulimwenguni watu wengi wamekuwa wakihisi pengine kuna kolabo inaweza kutokea hasa baada ya kusemekana wasanii hao walibadilishana namba.
akihojiwa na redio moja mmnoja wa mameneja wa Diamond,Sallam amesema kuwa huwezi kufanya kolabo na msanii kama kanye West kisa umekutana naye tu kwani kuna protokali nyingi zinabidi zifuatwe mpaka kukamilisha hilo na kuongeza kuwa kwa CV ya Diamond nafasi inaweza kupatikana.
unajua wenzetu hawafanyi kolabo kwa sababu umekutana naye,lazima utengeneze kuwa wewe ni nani,ukifanya naye kolabo itamsaidia nini yeye,nashukuru kwa upande wetu tuna Cv nyingi kwa hiyo nadhani itatusaidia kwa upande mwingine” alifunguka Sallam.
Source: Radio 5
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA