Nay wa Mitego adai video ya Shika adabu yako ndio inayoongoza kwenye hip hop | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, March 10, 2016

Nay wa Mitego adai video ya Shika adabu yako ndio inayoongoza kwenye hip hop

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
nay
Rapper wa Tanzania Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa haimpi shida kuona video yake ya Shika adabu yako haichezwi kwenye vituo vya Tv na kudai kuwepo online tu inatosha.
Nay amesema video ya wimbo huo ambao ulifungiwa na BASATA licha ya kutochezwa kwenye vituo vya Tv imefika pale alipotaka kwani anaamini ndio video ya Hip Hop iliyoangaliwa zaidi kuliko zote kwa muda mfupi.
Huu wimbo BASATA waliufungia japo sikupata rasmi ndio maana nikaachia video yake Youtube tu ili nisiwaangushe mashabiki zangu,lakini inafanya poa sana,huenda ikawa video ndio video ya hip hop iliyotazamwa zaidi kwa muda mfupi na imefika matarajio yangu” alifunguka Nay wa Mitego.
Source:Bongo5 Tv
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA