Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Msanii wa R&B Tanzania,Ben Pol amesema kuwa katika kolabo zote alizowahi kuzifanya,kolabo ya Mama yeyoo ya G.Nako ndio ilikuwa rahisi kupita zote.
Ben Pol ameweka wazi zaidi ya kuingiza sauti studio hakuna kingine alichofanya kwani kila kitu G.Nako alikuwa amemaliza.
“kusema kweli mimi sijashika peni yangu kuandika chochote kwenye ile chorus,kwa sababu G.Nako alikuwa ameshaiandika na melody zake na kila kitu na wimbo mzima ameshaurekodi,kwa hiyo yeye akaniambia tu utaimba hapa mpaka hapa,naweza kusema ndio kazi rahisi niliyowahi fanya” alisema Ben Pol japo alipata sifa nyingi sana kupitia chorus hiyo.
Source:Clouds Fm
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment