Kabla ya kuwa msanii,Ndoto ya Tunda Man ilikuwa ni kufanya kazi hii hapa | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, March 17, 2016

Kabla ya kuwa msanii,Ndoto ya Tunda Man ilikuwa ni kufanya kazi hii hapa

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
tunda (1)

Msanii wa bongo fleva Tunda Man amefunguka na kusema kuwa hakuwai kufikiria kama muziki ungekuja kuwa kazi ya ndoto yake badala yake alikuwa anajua atakuja kuwa mchezaji wa mpira wa miguu.
Tunda Man amesema kuwa amewahi kucheza timu moja na mastaa wakubwa kwenye mpira kama Boniface Pawasa,Matola,Machupa na Emanuel Gabriel yeye akiwa kama kipa.
ndoto zangu zote zilikuwa kwenye mpira niliamini ungenifikisha mbali,nilikuwa nakodishwa hadi timu za jeshi na kila wikiendi nilikuwa silali nyumbani kwa sababu ya mpira” alisema Tunda Man
Source: Clouds
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA