Harmonize aweka wazi sababu ya yeye kuwa single mpaka sasa | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, March 10, 2016

Harmonize aweka wazi sababu ya yeye kuwa single mpaka sasa

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
harmonizerr
Msanii wa bongo fleva Harmonize amesema kuwa toka aingie kwenye utu uzima hajawahi kujihusisha na mambo ya mapenzi kwa sababu anataka kufanya maamuzi sahihi ambayo hatayajutia.
akiongea kwenye mahojiano na kituo kimoja cha Tv Harmonize amesema anataka apate mwenza ambaye atakayeweza kumtambulisha kwa jamii na ikamuelewa ndio maana yupo makini kwenye swala kama hilo.
Toka niingie kwenye utu uzima sijaingia kwenye mahusiano kwa sababu nataka nifanya maamuzi sahihi.Nataka nikiingia kwenye mahusiano niweke wazi kila mtu ajue” alisema msanii huyo anayetamba na wimbo wa bado.
Source: Clouds Tv
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA