Lulu ataka bongo movie wazingatie haya ili waweze kunyakua tuzo zaidi.yapi hayo? | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, March 10, 2016

Lulu ataka bongo movie wazingatie haya ili waweze kunyakua tuzo zaidi.yapi hayo?

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
lulu
Msanii wa filamu Tanzania ambaye siku za karibuni amejinyakulia tuzo ya Africa Magic Viewers Choice kwenye kipengele cha filamu bora ya Afrika Mashariki kupitia movie yake ya mapenzi ametoa wito kwa watanzania kuwekeza kwenye Filamu.
Msanii huyo amesisitiza kuwa ili filamu za kitanzania ziendelee kutamba kimataifa lazima wasanii wakubali kutenga bajeti ya kutosha na kuongeza ujuzi kila mara.
kiukweli bajeti ni muhimu,kwa sababu movie zinazopitishwa hazitakiwa chini ya ubora,pia lazima watu lazima waongeze ujuzi kwa kila mtu mwenye talent yake iwe director,actor au script writter“alifunguka Lulu na kuongeza kuwa filamu ni zaidi ya biashara kama watu watawekeza.
Source: Clouds
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA