HIGUITA AMPONGEZA KIPA WA BARCELONA KWA KUOKOA KWA STAILI YAKE | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 15, 2016

HIGUITA AMPONGEZA KIPA WA BARCELONA KWA KUOKOA KWA STAILI YAKE

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Kipa wa Barcelona, Claudio Bravo amepokea pongezi kutoka kwa mkongwe Rene Higuita raia wa Colombia baada naye kuokoa kwa staili ya Scorpion Challenge.


Bravo alifanya hivyo Barcelona ikiwa mazoezini, akaitupia picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ambako Higuita alimpongeza.

Higuita aliokoa wakati wa Kombe la Dunia mwaka 1990 na kuweka alama ya ukoaji kuwa mali yake maarufu kama "Scorpion Challenge".
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA