Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.Joyce Fissoo (kulia) akiwa na Ivone ‘Monalisa’ Cherry ambaye ameshiriki kucheza filamu iliyoshinda tuzo ya Filamu Bora yaLugha ya Kiswahili Afrika inayoitwa Kitendawili.
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.Joyce Fissoo (kushoto) akiwa pamoja na mshindi wa tuzo ya Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili AfrikaBw.Single “Richie”Mtambalike baada ya kuwapokea leo jijini Dar esSalaam.Richie amepata tuzo hiyo kupitia filamu ya Kitendawili ambayo amecheza naYvone“Monalisa”Cherry.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment