Kuhusu kesi ya ubakaji inayomkabili kaka yake Nicki Minaj | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 16, 2016

Kuhusu kesi ya ubakaji inayomkabili kaka yake Nicki Minaj

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Jelani-Maraj-Nicki-Minaj
Kaka wa rapa Nicki Minaj  ‘Jelani Maraj’ anayekabiliwa na kesi ya ubakaji wa mtoto mdogo mwenye miaka 12 anafanya sala kwa sasa ili mahakama ya mwanzo itakayosikiliza na kutazama kesi yake iseme hakuna ushaidi wa kutosha wa kesi hio kusikilizwa.
Awali palikuwa na taarifa kuwa Nicki Minaj ndiye aliyelipa dhamana ya kaka yake ila baadae ilijulikana kuwa sio kweli.
Jelani akikutwa na sababu za kwenda mahakamani itakuwa aibu kubwa kwa dada yake Nicki Minaj.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA