Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Bozi wa kampuni ya TIDAL ‘Jay Z’ amepata namafanikio makubwa baada ya watumiaji wa huduma yake ya kusikiliza na kutazama kazi za wasanii mtandaoni kwa kulipia kuongezeka mara mbili kutokana na uwepo wa album ya Kanye West ‘The Life of Pablo’.
Jay Z pia ametoa album yake ya zake zote kutoka kwenye kampuni zinazoshindana na kampuni yake ya TIDAL kama Spotify, Apple Music, pia huwezi kuinunua album hio kwenye mtandao wa iTunes.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment