Leo katika historia jumanne ya tarehe 29/03/2016 | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 29, 2016

Leo katika historia jumanne ya tarehe 29/03/2016

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

JE WAJUA? Duma ana mistari mistari kuanzia kwenye ngozi yake mpaka kwenye manyonya? na je wajua? popo ndiye mnyama pekee duniani anyonyeshae na kuruka?
Siku kama ya leo miaka 149 iliyopita yaani mwaka 1867 jamhuri ya kisoviet ya Urusi ya zamani yaiuzia marekani jimbo la Alaska kwa thamani ya dola za kimarekani milioni 7.2 kwa wakati huo.
Siku kama ya leo mwaka 1886 kinywaji cha coca cola chaingia sokoni kwa mara ya kwanza huko Atlanta Marekani huku mwanzilishi wake Dr. John Pemberton akidai kuwa kinywaji hicho kina uwezo mkubwa wa kuondoa jazba
Na siku kama ya leo mwaka 1903 mvumbuzi aliyegundua mawimbi ya radio raia wa Italia bwana Marconi aanzisha huduma ya habari kwa kutumia mawimbi ya radio yaani wireless kati ya mji wa New York na London
Na siku kama ya leo vilevile mwaka 1835 alizaliwa bwana Elihu Thomson raia wa marekani aliyezaliwa uingereza ambae ni mgunduzi wa mashine ya umeme ya kuchomelea chuma(welding mashine)
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA