Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
JE WAJUA? kuwa chura hawezi kumeza huku macho yake yakiwa wazi? na je wajua? tembo ndio mamalia pekee dunia asiyeweza kuruka?
..........................................................................................................................................................
Siku kama ya leo miaka 207 iliyopita yaani mwaka 1809 alifariki dunia mfaransa mwanafizikia mgunduzi bwana Jean-Pierre Blanchard ambaye alikuwa binaadamu wa kwanza kuanzisha safari ya za angani kwa ugunduzi wake wa puto(parachute or balloon)
Na siku kama ya leo mwaka 1876 bwana Alexander Graham Bell atunukiwa hakimiliki ya ugunduzi wa simu.
Na siku kama ya leo miaka 110 iliyopita yaani mwaka 1906 Finland yawa nchi ya tatu duniani kuwapa wanawake haki ya kupiga kura.
Vilevile siku kama ya leo yaani mwaka 1933 filamu maarufu ya ''king kong'' yaonyeshwa kwa mara ya kwanza huko New York Marekani
Na siku kama ya leo mwaka 1979 chombo cha anga za juu cha Marekani kijulikanacho kama ''Voyager 1'' chawasili kwenye sayari ya jupiter
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment