Marekani na Russia kuzungumzia amani kwa ajili ya Syria | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, March 17, 2016

Marekani na Russia kuzungumzia amani kwa ajili ya Syria

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Rais wa Russia Vladimir Putin
Rais wa Russia Vladimir Putin
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry anapanga kusafiri kwenda Moscow wiki ijayo kwa mazungumzo na Rais wa Russia Vladmir Putin kuhusu kupunguza wanajeshi wake huko Syria na shinikizo jipya kwa ajili ya amani katika nchi hiyo iliyoharibiwa na vita.
Wizara ya ulinzi ya Russia imesema ndege zake nyingi zimeondoka Syria Jumatano, zikiendelea kuondoka wakati Umoja wa Mataifa ikisimamia mazungumzo zaidi ya amani yasiyo ya moja kwa moja huko Geneva kati ya pande zinazohasimiana nchini Syria.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry anapanga kusafiri kwenda Moscow wiki ijayo kwa mazungumzo na Rais wa Russia Vladimir Putin kuhusu kupunguza wanajeshi wake huko Syria na shinikizo jipya kwa ajili ya amani katika nchi hiyo iliyoharibiwa na vita.
Kerry amesema atazungumza na wote - Bwana Putin na waziri wa mambo ya nje wa Russia, Sergei Lavrov - kuhusu namna ya kusonga mbele na utaratibu wa kuleta suluhisho la kisiasa kwenye taifa hilo linalokumbwa na vita kwa miaka mitano sasa.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA