Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Ikulu ya Marekani imesema kuwa Marekani inathamini sana uhusiano wake na Uingereza ,hayo yalisemwa saa chache baada ya Rais Obama kuikosoa vikali sera ya mambo ya nje ya Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameron.
Rais Obama aliliambia jarida la "The Atlantic"kuwa Uingereza na Ufaransa walisababisha Libya kufikia katika hali mbaya baada ya majeshi yao kuingilia kati.
Kupitia msemaji wa Ikulu Ned Price yanayomsifu Cameron kwa uongozi wake wa jumuiya ya kijeshi ya nchi za magharibi NATO.
Uongozi wa Obama unaonekana kuwa katika mkanganyiko mkubwa.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment