Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Star wa Real Mdrid Cristiano Ronaldo ameendelea kuthibitisha kwamba yeye ni mtu wa watu, Ronaldo ameonekana kwenye video akipata chai na mshkaji wake wa karibu halafu mashabiki wake wakataka kupiga naye picha kila mara nay eye hakuonekana kujali usumbufu huo uliojitokeza.
Japo mashabiki hao waliomba kwa ustaarabu kupata picha na Ronaldo, star huyo alikubali kupiga nao picha kabla ya kuondoka katika eneo hilo.
Angalia video hapa chini jinsi watu walivyokuwa wakipishana kupiga picha na Ronaldo kwenye mgahawa.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment