Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Fareed Kubanda mkali wa Hiphop ni shabiki nguli wa Barcelona na yeye anasema sababu kubwa ya kuichagua Barcelona ni kwamba ushindi kwao lazima. Sasa hapa anazungumzia kwanini anaipenda Barcelona pamoja na kuhusu mechi ya leo.
“Nimechagua hii team kwa sababu hainipi headache, mpira mzuri guarantee ushindi. Na ningeshauri watu wengine wengi waje Barca nafasi bado zipo hamjachelewa. Watalaam wa mambo wanasema “Better late the never but never late is better”, nafasi zipo za kuwa shabiki wa Barca hamna kuumizwa vichwa. Kama CCM wanavyosema na slogan yao ya “Hapa Kazi Tu” basi na Barca hapa ushindi tu. Kila mtu anajua kwamba mtoto wa Messi kaomba mpira maana yake ni kwamba wanachezea zaidi ya tatu”
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment