Mawakili wa 50 Cent watoa sababu za umuhimu wa wasanii wa hiphop kuwa na mwonekano wa kitajiri | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Monday, March 14, 2016

Mawakili wa 50 Cent watoa sababu za umuhimu wa wasanii wa hiphop kuwa na mwonekano wa kitajiri

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
50_cent_47
Mawakili wa rapa 50 Cent hivi karibuni wamejibu maswali magumu kuhusu ukweli wa kufilisika kwa mteja wao rapa 50 Cent.
Kuhusu swala la kusema amefilisika ila bado anaishi maisha ya kitajiri na kifahari mawakili hawa wamefafanua kuwa “Ni muhimu kwa wasanii wa hiphop na rapa kuwa na pesa sababu vijana wengi kwenye tasnia hii wanahitaji ushawishi mkubwa kutoka kwa wasanii wakubwa ili kupambana zaidi ‘Ispiration’ ndio maana 50 Cent anaishi hivyo“.
Mawakili hao pia wamesema 50 Cent akionekana amepigika hata pata dili zingine kwenye muziki, filamu na biashara zake.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA