Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Akiwa kwenye kipindi cha friday nite live rapa Fid Q ameseka wazi jinsi alivyofanya kazi na msanii Taz kutoka Zambia.
Fid Q anasema “Nilikutana na jamaa na kusikiliza kazi zake na kuona kitu tofauti kwenye uimbaji wake, Taz nikama P Funk Majani wa Zambia amewatoa wasanii wengi ila kwa sasa hafanyi tena muziki wa dunia,anafanya mambo ya injili tu, ilikuwa kama zali sababu nilibadilisha mawazo na kuamua kufanya wimbo huko na video hii, hakutaka kuonekana kwenye video ila sababu alipatia sana kiitikio ilimlazimu tu afanye“.
Fid Q amefanya video Afria Kusin ya Wimbo wa Walk It Off.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment