Mrithi wa Dr. Slaa hapatikana Mwanza | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, March 10, 2016

Mrithi wa Dr. Slaa hapatikana Mwanza

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo (CHADEMA) akiwasili uwanja wa ndege jijini Mwanza.kwaajili ya mkutano wa  baraza kuu CHADEMA  ambao utamtangaza  Katibu  mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa
 
Mwenyekiti Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliofika kumlaki uwanja wa ndege
Mwenyekiti wa baraza la wazee akiwasili uwanja wa ndege mwanza
Mwenyekiti wa chadema akiwasili hotel ya Gold Crest ambako mkutano wa baraza kuu chadema utafanyika.Kulia ni afisa habari wa chadema Tumaini Makene
Makamu katibu chadema Mh Salum Mwalimu akimpokea mwenyekiti
 Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo akijadili jambo na makamu katibu
Makamu katibu Mh Salum Mwalimu akimlaki kwa bashasha kubwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA,Tanzania visiwan
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA