MTOTO WA ROBIN VAN PERSIE ABANDIKWA JINA LA SVP, AELEZWA YUKO TAYARI KUMRITHI BABAYE | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Monday, March 14, 2016

MTOTO WA ROBIN VAN PERSIE ABANDIKWA JINA LA SVP, AELEZWA YUKO TAYARI KUMRITHI BABAYE

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja


Mtoto wa mshambuliaji nyota wa Fenerbahce ya Uturuki, Robin van Persie naye sasa amebandikwa jina jipya.

Wakati van Persie hujulikana kama RVP kwa jina la utani, mwahaye Shaqueel sasa anajulikana SVP.

Mke wa van Persie, Bouchra ndiye aliyetupia picha ya mumewe na mwanaye huyo mwenye umri wa miaka tisa wakiwa katika picha ya pamoja na kumpa jina hilo la SVP.
Lakini muda mchache tu mitandaoni jina hilo limekuwa likisambaa kwa kasi kubwa. 



KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA