Paul Pogba aonyesha style mpya ya nywere kwa ajili ya mechi ya Bayern | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 15, 2016

Paul Pogba aonyesha style mpya ya nywere kwa ajili ya mechi ya Bayern

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
covvv
Kesho kutakua na mechi kali kati ya Bayern Munich Vs Juventus ambapo itaamua club gani kati ya hizi mbili zisonge mbele kwenye hatua inayofuata.
Kama kawaida ya kijana Paul Pogba zaidi ya soka yeye na ma stylist wake huwa wanawaza style ya nywere ambayo ataingia nayo uwanjani.
3]
Kwenye mechi ya kesho style ya nywere ya Paul Pogba ina muonekano wa vikatuni vya Minions. Wapenzi wa movie watakua wanawajua hawa Minions ambao wapo kwenye movie maarufu ya animation.
4
Upande mmoja wa kichwa cha Pogba kina stars ambazo zimechora na kinyozi wake. Sehemu ya pili ndio kuna kikatuni hicho cha Minions.
1
Kesho Pogba anatarajiwa kucheza vizuri ili kusaidia kikosi chake cha Juventus kuendelea na harakati za kutafuta ubingwa wa UEFA baada ya kuukosa mwaka jana.

2

KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA