Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Paul Pogba jana alisherekea birthday yake akitimiza miaka 23 akiwa kwenye kiwango kizuri na club yake ya Juventus.Leo usiku pia anatarajiwa kucheza sehemu kubwa ya mchezo ili kuhakikisha club yake ya Juventus inapata matokeo mazuri.
Kumpa nguvu Paul Pogba, Adidas imetangaza kwamba ime sign Pogba kwenye list ya wachezaji wanao vaa brand ya viatu vyao.Mkataba huu ulikua kwenye tetesi kwa muda mrefu sana lakini hatimaye umetangazwa rasmi leo.
Mkataba huo wa Pogba una thamani ya Euro milioni 4(Tsh 9,667,024,160) kila msimu. Mkataba huo utadumu kwa muda wa miaka 10. Kiatu kitakachotoka kwa jina la Pogba kitakua kimeandikwa kwa nyuma Pogboom.
Paul Pogba anayonyesha uwezo wake sana kwenye ligi ya Serie A ambayo inaonyeshwa Live kupitia Startimes.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment