Neymar : “Mimi ni shabiki wa Cristiano Ronaldo” | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 16, 2016

Neymar : “Mimi ni shabiki wa Cristiano Ronaldo”

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
ney
Siku kadhaa zilizopita ilitoka story kwamba shabiki wa Ronaldo na Messi walipigana huko India hadi mmoja wapo akafariki dunia kutokana na kurushiwa chupa shingoni.
Mashabiki hawapatani lakini wachezaji wanapenda na kukubaliana vizuri. Neymar akiongea na gazeti moja la Ureno amesema, “Mimi ni shabikiwa Ronaldo, yeye ni legend na ingekua vizuri sana kama angecheza Barcelona”.
Kwenye interview hiyo pia waandishi walimuuliza swali kuhusu kocha Enrique na Pep Guardiola, “Wote nawakubari sana na wameniongoza kwenye njia hadi nimefika hapa. Lakini kwa sasa kocha wangu ni Enrique”.
Neymar anahusishwa sana na swala la kwenda kwenye Premier League kuungana na kocha wake wa zamani Pep Guardiola.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA