Rais Magufuli ashiriki mazishi ya aliekuwa kaka wa Rais Mstaafu Kikwete kijijini Msoga | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Sunday, March 6, 2016

Rais Magufuli ashiriki mazishi ya aliekuwa kaka wa Rais Mstaafu Kikwete kijijini Msoga

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

RAIS John Magufuli jana ameshiriki maziko ya marehemu Selemani Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, yaliyofanyika kijiji cha Msoga, wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani.

Selemani alifariki dunia Machi mosi, mwaka huu nchini India.
 
Viongozi wengine waliohudhuria ni Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Makamu wa Rais mstaafu Dk Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa zamani, Shamsi Vuai Nahodha, Waziri Mkuu mstaafu Samuel Malecela na Mufti Abubakary Zuberi.
 
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA