Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Kwenye zile kubwa ambazo zimenifikia leo March 17 ni pamoja na hii ya Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kuvutiwa na kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tvmpaka akaamua kuwapigia simu moja kwa moja studio na kuwapongeza.
Kingine alichokisema Rais Magufuli ni kuwa yeye ni shabiki namba moja wa kipindi hicho na anafurahishwa na kazi nzuri inayofanywa naClouds Media Group kama zoezi zima laMalkiaWaNguvu na mengine mengi.
Rais Magufuli ambaye wakati anapiga simu studio alikua na Mke wake Mama Janeth Magufuli,amewapongeza Watangazaji wa kipindi hicho Hudson Kamoga,Babie Kabae naSam Sasali kwa jinsi wanavyokifanya vizuri kipindi hicho hasa kwenye uchambuaji wa Magazeti wa kipindi hicho.
Nimeinasa pia sauti ya Rais Magufuli akiongea live kwenye kipindi cha Clouds 360.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment