UTANI WA WATANI, MITANDAONI: ETI SIMBA WANACHUNGULIA KAMA YANGA WAMISHAONDOKA NAO WAJIDAI | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, March 11, 2016

UTANI WA WATANI, MITANDAONI: ETI SIMBA WANACHUNGULIA KAMA YANGA WAMISHAONDOKA NAO WAJIDAI

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Mashabiki wa soka wana mambo mengi. SImba na Yanga wana haki ya kutaniana kwa kuwa ni watani.

Mashabiki wa Yanga wametupia picha ya myama Simba anayeiwakilisha Simba, akionekana ni mwoga, anayechungulia jambo.

Lakini wakaandika manejo haya: “Bado wapo au washaenda Rwanda na mimi nijidai kidogo.”

Kwamba Yanga akiondoka, Simba nao watakuwa wana nafasi ya kujidai. Haya ni mambo ya watani. hehehehe.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA