TOTTENHAM YA CHEZEA KICHAPO UGENINI | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, March 11, 2016

TOTTENHAM YA CHEZEA KICHAPO UGENINI

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Spurs ilijikuta ikichezea kichapo cha bao 3-0 ugenini huku wachezaji wenye uzoefu kama Eric Dier, Harry Kane, Mousa Dembele na Erik Lamela wote wakianzia benchi kwenye mechi hiyo.
Magoli ya Dortmund yalifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang ambaye alifunga goli la kwanza kwa kichwa wakati Reus yeye akalipiga msumari jahazi la Spurs kwa kufunga bao mbili zilizokamilisha ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya wageni Spurs.
Watu wengi wanajiuliza kwamba, kuwapumzisha wachezaji hao ni kwa ajili ya mechi ya Premier League kati ya Spurs dhidi ya vibonde Aston Villa?
Video ya magoli yote ya Borussia Dortmund vs Tottenham
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA