Zimbabwe yapinga marufuku ya WhatsApp | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 15, 2016

Zimbabwe yapinga marufuku ya WhatsApp

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Serikali ya Zimbabwe imekataa pendekezo la kampuni za simu kupiga marufuku huduma ya Over The Top{OTT} kama vile WhatsApp na Skype ,waziri mmoja amenukuliwa katika gazeti la Herald akisema.
Kampuni hizo zilitoa ombi la huduma ya OTT zisimamiwe akihoji kwamba zinawazuia kupata faida.
''Tulisema kwamba sisi kama taifa endelevu ambalo linakuza teknolojia tunapuuza wazo hili la kuzipiga marufuku teknolojia hizi ,waziri wa habari na teknolojia Supa Mandiwanzira alisema.
Wabunge nchini Afrika Kusini pia wamekuwa wakilijadili ombi hilo la makampuni ya simu kusimamia huduma hizo za OTT ambazo zinaonekana kuwa rahisi kwa matumizi.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA