BAADA YA AFRIKA KUSINI SASA XENOPHOBIC YAHAMIA ZAMBIA, WAGENI WAUAWA NA KUVUNJIWA | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 20, 2016

BAADA YA AFRIKA KUSINI SASA XENOPHOBIC YAHAMIA ZAMBIA, WAGENI WAUAWA NA KUVUNJIWA

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Mamia ya wageni wakimbilia vituo vya polisi nchini Zambia kutafuta hifadhi ya kunusuru maisha yao.

Jana maelfu ya wazawa na raia wa nchi hiyo walivamia maduka ya Wageni katika miji ya Lusaka, Zingalume, George, Garden na Mandevu.

Huku wakiwalenga zaidi raia wa Rwanda, mtu mmoja ameunguzwa na kubakia majivu kabisa.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA