Huyu ndio kocha mpya wa Chelsea atakayejiunga na timu mwisho wa msimu 2015/2016 | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Monday, April 4, 2016

Huyu ndio kocha mpya wa Chelsea atakayejiunga na timu mwisho wa msimu 2015/2016

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Baada ya klabu ya Chelsea ya Uingerezakumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyoJose Mourinho  miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa mudaGuus Hiddink, April 4 uongozi wa Chelseaumetangaza kocha wa kudumu atakayejiunga na klabu hiyo mwishoni mwa msimu.
Chelsea imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha wa timu ya taifa yaItalia Antonio ConteChelsea imempa mkatabaConte ambaye atajiunga na timu hiyo baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika akiwa anaiongoza timu ya taifa ya Italia katika michuano hiyo.
conte-appointed.img
Antonio Conte
“Klabu ya Chelsea na soka la Uingereza kwa ujumla unaangaliwa sana popote uendapo, mashabiki wa soka Uingereza wanamapenzi na soka kweli, natumaini nitafurahia mafanikio hapa kama ilivyokuwa Italia”  >>> Antonio Conte
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Antonio Conte aliwahi kuichezea timu ya taifa ya Italiakuanzia mwaka 1994 hadi mwaka 2000, lakini amewahi kuvifundisha vilabu vya Juventus yaItalia kuanzia mwaka 2011-2014, Siena na timu ya taifa ya Italia kuanzia mwaka 2014 hadi 2016. Conte kwa sasa ana umri wa miaka 46.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA