Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Uwepo wa mashabiki kwenye sanaa ya staa yeyote ni kitu ambacho tumezoea kukiona ila kuna ule ushabiki wa damu mpaka mtu analia kwa kutoamini kama amekutana na staa anayemkubali ambaye amekua akimuona tu kwenye TV na kusikiliza nyimbo zake.
Imetokea kwa mwimbaji wa Nigeria Davido wakati alipotua Congo Brazaville kwa ndege binafsi akakutana na shabiki anaeonekana kuwa muhudumu wa Hoteli ambaye aliangua kilio sio mchezo baada ya kumuona Davido, kwenye hizi video hapa chini Davido anaonekana akimbembeleza.
.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment