Kampuni ya Tesla yapata oda 276,000 za magari ya umeme | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 5, 2016

Kampuni ya Tesla yapata oda 276,000 za magari ya umeme

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Mwanzilishi wa kampuni ya Tesla Bw Elon Musk amesema kampuni hiyo imepokea oda 276,000 za magari yake mapya Model 3 ambayo yanatumia umeme badala ya mafuta.Kampuni hiyo yenye makao yake California ilizindua gari hilo lenye uwezo wa kubeba watu watano, ambalo ndilo la bei ya chini zaidi miongoni mwa magari ya kampuni hiyo, Alhamisi.
Image result for tesla model 3
Bw Musk, ambaye ndiye afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo, alisema walipata oda hizo kufikia mwisho wa Jumamosi.Magari ya kwanza yatawasilishwa kwa wanunuzi mwishoni mwa 2017.  Si wote waliowasilisha oda wanaotarajiwa mwishowe kununua magari hayo.Wanunuzi wanatakiwa kuweka rubuni ya $1,000 ili kuhifadhiwa magari yao.Wengi wa waliowasilisha oda wanatoka Uingereza, Jamhuri ya Ireland, Brazil, India, China na New Zealand.
Image result for tesla model 3
Image result for tesla model 3
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA