Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrtin wa Kampuni ya Bia Tanzania (kulia) kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrin ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania -TBL (kulia) ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment